Duration 10:14

Nafsi Episode 1

7 247 watched
0
85
Published 4 Nov 2020

Wasanii waliokuletea sinema ya Dhulma kwa hivi sasa wanakuletea tamthilia mpya kwa jina "Nafsi". Sinema hii itakuwa inapatikana ndani ya youtube channel yetu. Ili usikose uhondo huu, Subscribe Channel yetu ya youtube ndio uweze kuzipata episode zote. Pia kama ungetaka kusaidia kikundi chetu kwa njia yeyote ile, unaweza wasiliana na Musa namba yake ya simu ikiwa +254735576202

Category

Show more

Comments - 27