@christianchando70413 years agoSafi sana makongolo, mungu akubariki kwa maamuzi yako ya busara. Utu uzima dawa) 3
@
@kikotikikoti71763 years agoKweli tz askari bado shida sanaa ni waonezi mno. 3
@
@francismkenda2 years agoMhe. Mako nimekuzoea kwenye utani na ucheshi tu kumbe mzee kwenye mambo ya serious upo serious namna hii, mungu akulinde baba.
@
@nativeinfotv96203 years agoMakongoro safi kabisa. Haki ifuate mkondo wake. 1
@
@godfreymasele88533 years agoDu yani hapo magugu binafsikisa taa moja haiwaki. Sasa bulbu jamani wakati wowote ule huungua.
@
@mrematvbabakoku83363 years agoHili jembe tukilipata hapa daresalam tutaishi kama tupo paradiso. 2
@
@lastkinglastking33263 years agoDuh huyu baba ni zaidi wembe nilikuwa ni mcheshi tu kumbe kuna bonge la busara kiukweli anafaa kuwa kiongozi.
@
@eliyaldalaghi93913 years agoMkuu mbona askari wako wa mali asili wamekuwa wakifanya ukatili wa hali ya juu sana wanawapiga hata wamama kwa ajili ya kuni kavu.
@
@ulaweboy34793 years agoMheshimiwa magugu bado maaskari wamegeuza boda kuwa maslai tusaidie kituo cha police magugu wamezidi.
@
@sheilalolila22332 years agoPolisi jamani ukitaka kuwajua kuwa na kesi hawana utu kabisa.
@
@lulugora27123 years agoAisee muheshimwa ongea point usituchoshe upungufu unahusika nini na watu kupigwa. 1
@
@emastelajacob3952 years agoMaaskari hawana akili watumia madaraka vibaya.
@
@musasabuu28082 years agoPolisi fanyeni kazi kwa weledi punguzeni zuluma, tendeni haki kama mtu amefanya makosa punguzeni mtendeeni haki.
@
@samwellazarus31943 years agoKiukweli askari wa babati wanakamata sana pasipo sababu na wanapenda sana kitukidogo sanasana barabara ya kiru yani unaweza kukuta wako nane barabara moja na kila mtu yuko sehemu yake.
@
@ibrahimgwasma2353 years agoPolisi n raia hawawezi kuwa marafiki jamani haahahahahahah kote duniani haijawahi tokea. ikitokea kwa hapa tz tutavunja rekodi ya dunia.
@
@nativeinfotv96203 years agoKawaida mtu afikishwe. Mahali husika pasipo kupigwa walana raia wanapaswa kuwa marafiki na sio maadui ili kazi iende vzr.
Related videos for BODABODA MANYARA WATOA YA MOYONI KWA RC MAKONGORO NYERERE:
ikitokea kwa hapa tz tutavunja rekodi ya dunia.