Please watch: "FIKIA MALENGO YAKO KIRAHISI "
/watch/AEB06hqV3uPV0 --~--
Kuna wakati maisha yanaweza kuwa magumu sana mpaka ukajikuta unakata tamaa ya kuendelea kuishi au inaweza kuwa kwenye familia, kwenye kazi au popote pale umekubwa na ugumu katika maisha basi video hii ni somo tosha kwani utapata mambo muhimu ya kufuatilia ili kupata nafuu katika maisha yako na uweze kujipanga tena.
Usiache ku SUBSCRIBE na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine.
.
NIFUATE MITANDAONI
INSTAGRAM: https://www.instagram.com/ezdenjumanne/
TWITTER: https://www.twitter.com/ezdenjumanne
FACEBOOK: https://www.facebook.com/ezdenjumanne
LINKEDIN: https://www.linkedin.com/in/ezdenjumanne
.
For Business please send me an email
ezdenjumanne@gmail.com
Whatsapp group : (+255)759191076
#SuccessPath #EachOneTeachOne #EzdenJumanne