Duration 11:15

BREAKING: RAIS MAGUFULI aunda BARAZA JIPYA, MWIGULU, NDUGULILE, JAFO WARUDI, KIGWANGALA Aondolewa

109 805 watched
0
345
Published 5 Dec 2020

🔴#BREAKING: RAIS MAGUFULI aunda BARAZA JIPYA, MWIGULU, NDUGULILE, JAFO WARUDI, KIGWANGALA Aondolewa RAIS John Magufuli, leo Desemba 5, 2020, ameteua baraza la mawaziri ambapo orodha hiyo imesomwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi. Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ni Elias Kwandikwa, Wizara Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ni Capt. Mst. George Mkuchika. Wizara ya Ardhi ni William Lukuvi, Wizara ya Maji ni Juma Aweso, Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ni Innocent Bashungwa, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu ni Jenista Mhagama Wizara ya Afya ni Dkt. Dorothy Gwajima, ambaye pia rais amemtea kuwa Mbunge, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Uwekezaji ni Prof. Kitila Mkumbo, Wizara ya Katiba na Sheria -ni. Dkt. Mwigulu Nchemba naWizara ya Elimu -niProf. Joyce Ndalichako. Wizara ya Mifugo na Uvuvi ni Mashimba Mashauri Ndaki, Wizara ya Maliasili na Utalii ni Dkt. Ndumbaro Damas Daniel, Ofisi ya Rais TAMISEMI ni. Selemani Jafo, Wizara ya Nishati ni Dkt. Medard Kalemani, Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ni Leonard Chamuriho na Wizara ya Kilimo ni Prof. Adolf Mkenda. Wizara ya Madini ni Dkt. Doto Biteko, Wizara ya Viwanda na Biashara ni Geoffrey Mwambe, na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ni George Simbachawene Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira ni Ummy Mwalimu, Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari (wizara mpya) ni Dkt. Faustine Ndugulile. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 194