Duration 10:3

FAHYMA - RAYVANNY Hata ALIE, AGALEGALE / SITAKI / SIJASIKILIZA Nyimbo ZAKE

20 260 watched
0
97
Published 15 Feb 2020

FAHYMA - "RAYVANNY Hata ALIE, AGALEGALE / SITAKI / SIJASIKILIZA Nyimbo ZAKE" Mwanamitindo maarufu Bongo, Fayma, leo Februari 14, ameamua kusheherekea sikukuu ya wapendanao kwa kutoa misaada kwa watoto yatima na kutoa mitaji ya biashara kwa wakinamama. Fayma ambaye ni mzazi mwenza wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Rayvanny, ametoa misaada kwa watoto hao na kula nao chakula cha mchana katika kituo cha Dorcus kilichopo Kunduchi jijini Dar , ambapo ametaja Kilichomsukuma kutoa misaada hiyo Hasa katika siku ya leo ya Valentine… UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE (+255 784 888982) (+255676229628) HABARI MPYA DAILY: http://bit.ly/habarimpya HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania Subscribe http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 15