Duration 25:31

Kwata la kimyakimya la Wanajeshi wa Tanzania Uhuru Day 2016

976 772 watched
0
2.1 K
Published 9 Dec 2016

Kikosi cha Kwata la kimya kimya kikionyesha uwezo wake kwenye sherehe za miaka 55 ya uhuru wa Tanzania Bara December 9 2016 Dar es salaam.

Category

Show more

Comments - 162
  • @
    @bonifacemashauri90325 years ago Am proud of Magufuli for this wonderful motivation in military forces.
    (blood of sarvation)
    2
  • @
    @ndarojuma51287 years ago Jaman naipenda hii kazi tafadhali mungu nisaidie maana ndio naanza process. 4
  • @
    @hondenisonmagufulinyabaro39237 years ago Maajabu hayo! Hongera kwa hao, from kiabusura bomakombi o' nyabaro mogeni na sipora kerubo tuko pamoja, suneka bonchari kisii county.
  • @
    @peterezavoliahona78517 years ago This beautiful haven' t seen it before. Noce. 4
  • @
    @salehelucy35278 years ago Aisee hao kiboko maana sio kwahali hiyo kwakweli wapo vizuri sana so nice. 4
  • @
    @peterezavoliahona78517 years ago Plz come to kenya we need u plz talk to our prezo. 6
  • @
    @cymoowanjeri68434 years ago The dressing is smart. Slow and quick match perfect.
  • @
    @josephgomalo418 years ago Aiseee. Nimeshika adabu nitarudi jkt tena. Nimekoma kujongo. This is just great. Thanks jwtz. Thanks watoto wa nyumbani.
  • @
    @ramadhaniyange63238 years ago Duu hongera wapiganaji wetu wa jwtz salute kwao. 2
  • @
    @danielsalimba72814 years ago Huwaga sichoki kuangalia mpaka leo 2020 naangaliaga2.
  • @
    @officialfredrickjacobtz21117 years ago Kiwi au a. K. A ballotel, mungu anakuona maana huzionei huruma mbavu zangu. Kweli unanogesha mambo, nice sana! Kata upepo. 3
  • @
    @jamesmutisya70797 years ago Walai hapa nimekubali, heko kwenu maofisa wa tz. 1
  • @
    @ramadhaniyange63238 years ago Jamani mimi nilikuwa major wa jeshi kwa hili haijawahi kutokea wameiva, wapo makini, wanaipenda kazi yao na wanawajibika wanatumia akili hongereni. 22
  • @
    @FELIXMBWANJI8 years ago Huyu jamaa ni moto aise yaani mara kwa mara namcheki yaani ni hatari sana. Big up sana kwa jwtz.
  • @
    @peterremy80135 years ago Kweli hongereni jeshi letu naamini nalindwa.
  • @
    @naftalimhemi12083 years ago Kama vile tulipokuwa tabora boys military school 1971.
  • @
    @pascalmakomba64956 years ago Profesa paramaganda kabudi alifunda bunge.
  • @
    @andrewkibesjunior59364 years ago Am from kenya lakini haya ya kiwi sijayaona.
  • @
    @tumwagilegedion6948 years ago Haha kiwi umenipa raha
    jeshi mko vzr.
    4
  • @
    @jeanmubemba12045 years ago Hahahahah, watanzania wana vipaji sana aisee, good work guyz.
  • @
    @ibrahimaboker90866 years ago Kila zama na kitabu chake
    tulipokuwa tpdf 1973 mpaka tunastaafu tulikuwa wakakamavu ndio maana ya kuwa askari. Mt7 daima.
    3
  • @
    @felixokondo63726 years ago Pull up still not accurate marekebisho kidogo two lakini hata ivo hongera. 2
  • @
    @mgangakidibwa69724 years ago Vp vt by nfc bbs nfcve bunch vdd r vdd bb.
  • @
    @MilioneaTv5 years ago Tangaza blog, App, youtube biashara au huduma kwa sh elfu 10 tu mwaka mzima kwenye mtandao wenye watu zaidi ya laki 3 ambao ni Mtandao pekee unaowalipa watu kwa kupost mada mbali mbali. Pia unapata blog kwa sh elfu 19 tu, App sh elfu 25 Youtube chanel sh elfu 10 blog inawekwa matangazo ya kukulipa maishani mwako. Kupata huduma hizo wasiliana whatsapp 0652428852 Karibu sana
    Pia wanahitajika watu wa kurekodi video kwa simu zao wasiliana whatsapp 0652428852 kwa maelezo zaidi
    ..
    ...Expand
  • @
    @johnabelly86136 years ago Sawapihawajaiva kuivakwenu mapaka tuonejeuli jeulikama yakorea.
  • @
    @asilclub5 years ago Mnasadiki mna uhuru? Bado mmetawaliwa na wazungu mnaishi ujinga tu.
  • @
    @abuumaisarah659511 months ago Kiwi ni mtu aisee ananikosha unaa una.
  • @
    @armanou90426 years ago Njooni kenya muone silent drill hufanywa.