Duration 12:55

PATANISHO : DAVID - MKE WANGU AINIFUMANIA NIKIWA NA MPANGO WA KANDO

38 446 watched
0
347
Published 30 Nov 2021

Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika #RadioJamboKenya Subscribe to RadioJambo Youtube - https://bit.ly/39wwc6u Mitandao ya Kijamii Instagram - https://rb.gy/e154d1 Facebook - https://rb.gy/09d1b9 Twitter - https://rb.gy/e23220

Category

Show more

Comments - 81
  • @
    @LynnDarc3 years ago If you' re reading this; hold your head up and smile. Better days are coming. Just continue to trust and have faith in god. Let' s repent and be blessed. 7
  • @
    @lillianodhiambo25753 years ago I follow this program just to help ghost laugh. Very infectious. 5
  • @
    @mariamfritsi49433 years ago Wa kwanza leo. From switzerland. 30. 11. 21. 2
  • @
    @humphreyayuks51873 years ago Luos are romantic na wanajua kulinda na bibi kubali msamaha. 1
  • @
    @bsjgeh59getting113 years ago Hili jina onyango wanapenda kuhanya sana. 2
  • @
    @zarabati17503 years ago Huyu mwanaume sio mwanaume material kabisa. 2
  • @
    @marthanjoki91753 years ago You are so innocent onyango. Hatosholeki. 1
  • @
    @aggynchogu98173 years ago Wah wanawake wengine wanatoa hii nguvu wapi? Wah. 1
  • @
    @salomemsangi37523 years ago Eti nakupenda kama ngurue, hee wakenya mnachekesha. 2
  • @
    @tarkwen66463 years ago Kukula christmas kwa baridi ni ngumuu. 3
  • @
    @veraoyuma35723 years ago Some ladies do blind weak men not knowing the food need more spices, and style application for easy digestion. 5
  • @
    @lourakasiti95123 years ago Dadangu wajana n hyo mdudu hpo hakuna ndoa. 4
  • @
    @bsjgeh59getting113 years ago Wanaume wengine mna mchezo unawezaje kuleta mpango wa kando kwa nyumba aki mimi naweza kata mtu na panga. 5
  • @
    @mwendapoleee3 years ago At 5 months kuhanya kwa marital home aaih! Ati bado anapendwa chaaii. 2
  • @
    @sharonkiruki92393 years ago Hizi ndizo zinaitangwa red flags wachana na huyu mtu. 7
  • @
    @nyarsakwa14923 years ago That man will never stop cheating, he is not even remorseful, the lady looks desperate. 5
  • @
    @jemimahnafula94572 years ago Courageous ladies!!!!!Who follows men to their homes style up!! That's very bad manners and no respect at all, God will never bless you.Hata ka id="hidden2" class="buttons">ma mwanaume amedharau bibi yake,wee usimpe nguvu hurts, just wear in that shoes before you uamue.Hey ladies of such behavior shame on you.Nyumba zimejengwa hadi mashinani nowdays.Why Kwa nyumba ya mwingine?Hizo akili zenu zinanibo muwe mnarizon kwanza muache kutangulisha mafilings bila kujali mwelekeapo!!!!Am single mom, sijawai fanyiwa hivo,na siwezi fanyia hivo mtu,Bali reason before action take place you big Mama's Here live in Qatar bye .. ...Expand 1
  • @
    @jamesgathaiya64503 years ago Hata kama ni mpango wa kando hata siwezi taka ajue bibi yangu leave alone kumleta kwa nyumba yangu. 5
  • @
    @user-su7vs9gb6h3 years ago Uyu guy ayko serous na lyf move on miezi tano na ameanza ukirudi ataendelea kukuplay. 1
  • @
    @jacklinegesaregisemba40483 years ago Wanawake wengine wanatoa hii nguvu ya msamaha wapi? 1
  • @
    @catetheequeen30943 years ago Mm nasaidia ghost kucheka wah watu wako n vituko.
  • @
    @user-su7vs9gb6h3 years ago Agal toto move on uyu guy atakutesa kwa lyf ukirudi kwa iyo nyumba utateseka heri move on. 1
  • @
    @quinncordelia49023 years ago Onyangohana jina romantic ni hema tu. Harafu nasikia hapo mwisho ni kama hema amewet. 3
  • @
    @eunicenjeru2153 years ago I hate it when a man cheats openly and after that he wants his wife to forgive him and life to be can life go back to normalcy after infidelity?Women,we need to be proud and use our brains and not feelings in relationship.A man who brings another woman to their matrimonial home has no respect for his wife and the lady he cheats with too.He is a selfish person and a Narcist who involves in emotional too proud to take that.Women rise up and stand carry something very important and you have value.Leave the silly man and after 5years you will attract a good man who will respect you. .. ...Expand 2
  • @
    @alfredoonyango15893 years ago Lady' s like ema wanapatikana wapi kenya hii, onyango ulipitia njia gani mimi pia nipitie kama ntapata mwenye anakaribia emma.
  • @
    @ashaali71542 years ago Unamfananisha mke na nyama kweli wewe bure kabisa. 1
  • @
    @gulochristine77383 years ago 5months in marej na mtu ameanza kuhanya, kama ni mm siwezirudi ata kwa dawa ya loliondo.
  • @
    @maryanne53763 years ago Kwa nyumba ykoata hyo dame ni mbya how comes unakubali kueda kwa nyumba iko na mwanamke.
  • @
    @joymarangu86273 years ago Akiamehanyano attachment there better kusonga juu huyu mwanaume aki. 1
  • @
    @fatmaalnabhani36093 years ago Kama nimkamue huyo onyango! Wapo wengi watu kama hawa washenzi.
  • @
    @puritymiwa5013 years ago 5months na umeanza na after 2yrs itakuwaje? Ur not serious jamaa. Dadangu baadae utasema i wish i knew. Just move on my dear pls. 1
  • @
    @mufush3 years ago Mtu unaleta mpango wa kando kwa nyumba jameni hata kama tharau no.
  • @
    @charlesodero14372 years ago Gidi na ghost nawashukuru kwa kazi ambayo mna fanya na lakini wanaume na mpango wa kando ni mbaya. 1
  • @
    @mwantimazdombo60493 years ago Uyo sio wa msamaa gidi na inaonekana sio mara ya kwanza inaonekana ni mchezo wa mda mrefu alizoea mungu aka muaibisha.
  • @
    @vanegwaro13193 years ago Kuanya si mbaya lakini mbaka kwahouse wah mapenzi ni scum. Mimi siyuko. 2
  • @
    @nziokalilian4103 years ago 5 months only na mtu ashaleta mpango wa kando wah wanaume wengine men don' t know how to cheat. Women can play 5 men then wasijulikane but nyinyi wanaume wapuzi kabsaa. Aty unampeleka home wah hyo nguvu.
  • @
    @heavenlyjoylillian7953 years ago Gidi huyu hata hafai kusamehewa utaleta aje mwanamke mwengine kwa nyumba yako ya ndoa mimi naeza wavunjia vitu hapo kwa nyumba mushangae, jo ugenya yawa! Ptho. 5
  • @
    @godsfavour56653 years ago Yani mipango za kando zime overtake marriages mob. Sasa utaitaje side chick kwa hao yao? Hii ni heshima gani sasa? Aki ungekula slap hadi ushangae yani ata . ...Expand
  • @
    @godsfavour56653 years ago Hawa ndio wanaume wenye munguhuyu mama akanyage kubwa tu huyu si bwana. 2
  • @
    @judithphiliptvKenya3 years ago Emma wachana na hii nguruwe ya mtu, ni malaya sana. 1
  • @
    @phanicekanenje10973 years ago Sasa huyu onyango pia niwakusamehewa kweli dunia isimame nishuke aki. 1