Duration 9:3

Mbasha Kumtambulisha Mpenzi Wake Mpya

18 551 watched
0
44
Published 13 Oct 2017

ALIYEKUWA mume na mzazi mwenza wa mwanamuziki wa injili, Flora Mbasha, anayejulikana kwa jina la Emmanuel Mbasha, ametoa ahadi ya kumuanika hadharani kesho mwandani wake wa sasa, baada ya kuchoshwa na maneno maneno ya mashabiki kuhusiana na nani ni mrithi wa Flora. Mbasha ambaye tangu kuolewa kwa mzazi mwenziye hakuwahi kuweka wazi uhusiano wake na mtu mwingine, amefungukia ishu hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram, ambapo amesema kesho anapasua jipu!

Category

Show more

Comments - 12