Professor Jay anaelezea jinsi alivyoingia kwenye bifu na Jose Chameleon kutokana na wimbo Nikusaidiaje na pia namna wimbo huo kutumika kwenye filamu ya Disney, Queen of Katwe ulivyozua ugomvi na mtayarishaji wa wimbo huo P-Funk. Pia anaeleza alivyochukulia kushindwa ubunge jimbo la Mikumi kwenye uchaguzi wa 2020
#ChillnaSky