@afandehassan14 years agoThe interview is more educative than entertainment. Keep it up fred. 6
@
@amosmahona4333 years agoGenius, you inspired me sasa hivi ninabajaji tatu mpya iko siku nitafika huko wacha nipambane. 3
@
@EastCoasTGorilla904 years agoGod bless you more freddy. Keep it up.
@
@mahmoudaziz47174 years agoDah jamaa yuko poa sana. Anawasaidia vijana big up fred. 22
@
@malmavoice89893 years agoWasafi mnafeli wapi kuleta interviews ndefu kama wanazofanya wengine, zaafu lile pindi la block 89 linarudi lini ndo lilikuwa na pindi tamu kama hizo now pindi zenu za the switch mgahawa na good morning zimekaa kibaba baba sana masela hazituvutii. Hatupendi kugawa mb zetu sehemu mbalimbali hebu angalieni kiu zetu tuzimalizie humo zote. Anachofanya aliah, mchaga org na mo town sanya vitamu lkn vifupi mno kwa mtu mmoja, au mmeridhika wazeeiya?. ...Expand1
@
@jerrydavid86294 years agoWw ni mwamba sana broo unajua sana kuwajibu hawa wambea. 9
@
@milkaauma63124 years agoUkiwa na hela lazima busara zifate uko sawa mzee baba vunjabei. 4
@
@user-ij5ig4uu1y4 years agoI love this man he' s educated sio wa kuropokwa kama wengine. 17
@
@ramsonrugonzi82494 years agoAiseh kumbe hyu mwamba ni economically generous, 30
@
@karimomari46323 years agoSafi san kiongoz mara nyingi nasema wew mkali wa (knowledge) 1
@
@elishaworkout61163 years agoNakukubali kaka angu, yaan unaajiliwa kidog unapata gap unatembea icho kitu nakiaply. 1
@
@WivianRich3 years agoWoyooo, kupanda grade huko toto ya mobyetto ni suala lingine kwa fredy vunjabei. 2
@
@ernestkilaryo10154 years agoTuletee minguo mwanza, tujimimine in @babalevo voice. 3
@
@nurdinisalum36514 years agoFrank knows ndio mdogo wake wa damu huyu ni patina na frank. 15
@
@aishaabubakari1834 years agoWatz jaman mnanini mtu akifanikiwa kwenye maisha basi mshirikina yani mtu kila cku unahangaika kutafuta pesa ukifanikiwa basi feermason jaman kila 1 na ridhiki zake. 2
@
@salymkitumbika86444 years agoToo much ustaarabu + too much akili = too much mooney, safisanaa brother. 32
@
@manduatechnology10553 years agoBraza fred nakukubal san unanifany nifight san niwe kam wew broo. 1
@
@nicklassshaypanga87943 years agoMhh kaka usitudangaye hyo bhanaa shemejii yenuuu. 1
@
@khatibabdallah61854 years agoJamaa yuko vizuri mnoo, tatizo vijana wengini mazoea mabaya na kukosa ubunifu tunakimbilia kusema freemason ni undava wa kipumbavu sn. 17
@
@robymtewele77603 years agoDaa unajibu maswali kiakili sana nimekukubali.
@
@jumarwambo74204 years agoBroh nimejifunza kitu kwenye hayo maongez. 3
@
@ricomediatz4 years agoLogo ya mic imegeuzwa du umakin kidogo. 7
@
@johnrogath10664 years agoJamaa yuko vzuri sana very inspirational. 8
@
@leonardkahaya90064 years agoKila mwenye hela kwa namna flan utaona an akil(smart) 15
@
@zabibunduwimana46124 years agoBro yuko vizuri kwa kuongeya aliya kwa umbea. 1
@
@salamamohammed54464 years agoVunja bei na mobet eti n. Mtu na shemu aaa wapii. 8
@
@ghostelmendez72064 years agoFredy ni mr genius. Yuko vizuri sana ana akili mingi mno. Anavyongea hakurupuki too much money. 8
@
@hamisikalulumbe68574 years agoDaa uyu jama ndio ma brother wakukaa no kukupa madini kama haya. 14
@
@nicholausmkolwe77654 years agoNapenda sana mngu akulinde na akufikishe mbali kimaisha uko phw kaka kwa japo ckujui naimani ni mtu wa watu, kaz njema. 1
@
@isackbaton82614 years agoKwa kwel hata mimi ni mtumishi wa uma ila huku ni utumwa. 2
@
@hollymore49044 years agoHuyu mtangazaji kila muda " you know you know you know you know. 2
@
@hakitv47174 years agoJamaa sio freemasonary kwanza asingeweka wazi hizo siri za kibiashara namna hiyo! Halafu note point 1! Wakati wa corona ilipozingua. Ametaja economical. ...Expand43
@
@jedidahbintidaudi82414 years agoThis channel have asked good questions, but try to be more innovative, ask intelligent questions ili vijana tupate kujifunza, social relationships are. ...Expand4
@
@thomastairo20214 years agoHuyu jamaa nimemsikiliza kwa makini ni mpambanaji. 10
@
@trio99114 years agoSasa c umeshawataja io watatajwa tena vipi?
@
@nelsonmataba14264 years agoHuyu jamaa kwa upande wa biashara ndio rol model wangu + lissu. 7
@
@shaqdizo76784 years agoBro nimekukubali maongezi yako ningependa sana one day nionane na wewe unipe madini ya kibiashara nina uwezo wa kufanya investment, hiyo biashara ya mbao imenivutia ningependa sana kupata more details about it. 13
@
@ramadhanimsowello90214 years agoAnae amin wewe freemason na yye aende akawe freemason awe tajiri kama laic. 5
@
@iddimngazija19573 years agoAkili za wa tz wengi hawaamini kama unaweza kufanikiwa bila ndumba.
@
@erickchitojo69334 years agoKatika haya maongez hapa kama mtu ukiwa makini unatoka na mawazo na mbinu za kibiashara. 3
@
@badmanno.16504 years agoHuyo fred amesoma finance. Ogopa sana hao watu wa economics. Hao ndio wanaajiri watu. 10
@
@nicholausmkolwe77654 years agoHuyu kaka sio sil hapend mambo yake kila mtukwakwel kwanza ni mtu anae jitambua. 7
@
@loner_wolf3 years agoVunja bei nicheck nikupe kichwa ya rap inachana sana.
@
@aminamwanakombo20974 years agoMimi huyu jamaa simjui but anajielewa sana. 3
@
@mabulangassa74393 years agoVunja bei namtabili atakuja kuwa kama ginimbi kifedha. 3
@
@goodlucktemu31494 years agoIvi kwanini ukiwa auna ela unaona wenye pesa wanatumia pesa vibaya. 32
@
@fatmakache6324 years agoBlack is handsome ktk wanaume bongo huyu fred vunja bei ananimaliza mie natamani japo kumuona tu. 3
@
@faridaessa78444 years agoFred vunja bei ningependa umuoe hamisa. 12
@
@loner_wolf3 years agoMbna maswali ya kisenge tu. Sasa mahusiano ya mtu vepe. 1
@
@barbiechemmy21373 years agoFredy anaongea vizur jamani uwi. Nioe bas kaka. 2
@
@patriciacarlo72364 years agoUkimuangalia huyu kaka alivyo smart ukiangalia pembeni una mwanaume mbishi hajui kupanggilia pesa, unasikia hasira. 14
@
@marinamooh40554 years agoJamani anajuwa kuongea mpkbro vunjabei kuwa rafiki mzuri wa mobero. 9
@
@juliaayieta25784 years agoAliyah, hapo kwa wifi yetu umepasema na umbea mwingi. 6
@
@kutokaughaibuni4 years agoHii mic logo imegeuka for long time eish sijui ni kitu gani videographer huoni aisee. 3
@
@saumuhassan63654 years agoHatare sana mzee baba nimependa rangi yako. 4
@
@mwaminramadhan49594 years agoKatika maswali mnafeli sana igeni sns wanauliza maswali una enjoy. 12
Related videos for FRED VUNJABEI:NAI NI PISI KALI/ALINICHEKI DM JANA/HAMISSA NIMEMU UPGRADE ANA ENJOY KUWA SINGLE:
too much money. 8