Duration 9:13

FURSA WATANZANIA WAZIDI KUPATA FURSA YA MASOMO NJE YA NCHI

2 558 watched
0
34
Published 16 Sep 2019

Global Education Link inaendelea kutoa fursa kwa wanafunzi wa kitanzania kusoma nje ya nchi kwa unafuu mkubwa. GEL ikishirikiana na taasisi za kifedha nchini inawawezesha wanafunzi wa kitanzania kupata mkopo nafuu wa elimu ya juu usio na riba. Wanafunzi wanaweza kunufaika na mkopo huo hadi kwa asilimia 70. Hawa ni baadhi ya wanafunzi wakiwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius K Nyerere tayari kwa safari ya kwenda masomoni nje ya nchi wakisindikizwa na wazazi wao. Global Education Link Elimu Nje Ya Nchi Fursa Kwa Wote!! Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0656 200 200

Category

Show more

Comments - 6