@saumusalimuhassan24993 years agoKiukweli niko hapa Oman, Mvua ni kubwa imeambatana na upepo, ulianza upepo toka saa kumi ya Alfajiri, kisha ikaja mvua, yani toka asubuh mvua imekata saa moja usiku, upepo ukata saa mbili, ila Sasaivi upepo umezuka tena na ni saa usiku, and ndio kwanza upepo kama wote, umeme umezima and toka nane mchana pamoja na maji, mpaka mda huu upepo unavuma sana na Maji na umeme havijarudi, and hatariiii sijawahi kuona toka nimekuja Oman, Japo wenyewe wanasema uwa inatokea mara chache sana, Allah atusimamie kwakweli, and inshallah .....Expand14
@
@lm63733 years agoAlhamdulillah wazima tuna chukuru allah from oman. 4
@
@dottohamisi98443 years agoSubhanallh mwenyezimungu atunusulu sisi waja wake. 3
@
@mwanaidmajani8563 years agoAllah atunusuru maan c kwa upepo huu unavyovyuma. 4
@
@sukariyao65373 years agoAsante mungu sie kwetu mvua imenyesha ila atujapata mafuriko maji yamepita tuuh njia.
@
@rhodaephraim86063 years agoPolen jomon mungu awanusuru na janga hilo kubwa.
@
@amandabilegeya35053 years agoPray for oman 1 comments for oman. 7
@
@francineniyonkuru7413 years agoMugu atunusuru sisi wenye tuko uku oman tunawo wonga nyigi. 7
@
@khadijaabdala68763 years agoAlhamdullillah maana hali ilikuwa mbaya. 2
@
@tatutatu15703 years agoPolen sana vipenzi vyangu mie ndugu yenu npo iraq mungu awaongoze muwe salama insha allah.
@
@tausilifestyle7953 years agoAlihamdulilah mana hali ilikuwa mbaya.
@
@levocatusgaitan2073 years agoEeemwenyez mungu tufanyie wepes waja wako. 7
@
@mligosandrah78513 years agoMungu awanusuru yarab, huko mvua ikinyesha wanatokaga kuchezea maji ila hii kiboko.
@
@suzanetilito81943 years agoNamshukuru mungu upepo na mvua ulikwepo juzi tumenusurika. 1
@
@alleoo2733 years agoAlhamdulillah nimesalimika lkn hali haikua shwari.
@
@mariammuscat43003 years agoAaallah atatuvuwa salama yarab sote amin. 6
@
@hamidabaliyanga25843 years agoKweli kaka nihatali sana tuko ndani tuu. 1
@
@kadijahajali39183 years agoMm niko omani lakini nashukuru mungu alhadulilah huku kulikuwa hakuna maji ya hivyo saham.
@
@saodashabani26523 years agoMtihani siye tumenusurika ilawenzetu imewaathiri sanaa jambo la kumshukuru allah kwakweli.
@
@fatmamshangama98243 years agoMungu tunusuru waja wako tulioko huku wote. 3
@
@singinggirl65543 years agoNilipo mimi maji yamejaa mlango bado kidogo tuu yaingie ndani yah allah tunusuru sisi waja wako. 2
@
@khdigahk42463 years agoBalaa ukuu muombee apa natoa maji ndani. 3
@
@sadasaid44083 years agoGono, yarabi, yani mackat ikinyesha imenyesha wallah, allah awanusuru na mzidi kuomba.
@
@Zainab-sq1tc3 years agoNi hatarii yan ila mungu atatusaidia hili litapita. 1
@
@iradukundamike53703 years agoOmani wallah hatuna rakusema mvua imeharibu vitu magari nyumba bahari tunamwaciya mungu sisi binadamu hatuwezi cocote.
@
@sophiakasana29373 years agoMvua hii imeweka histori oman maana sitasahau sio kwa upepo ule jamani.
@
@makulaikuku69093 years agoYaa arabb tujalie kheri albatinnah ndio niliko mungu wangu. 4
@
@rashidramadhan77083 years agoSns nakufatilia sana uko vzr so piga kazi.
@
@aysharashid10493 years agoMwenyezi mungu atunusulu na iki kimbunga.
@
@gdggghh20523 years agoAllah amesirikaa tunamuansii tunavyo juwa allah atuurumiyee kwaa urumaa wakee.
@
@sarahrashidabdallah31093 years agoSie tulio huku ndio tumejionea acha tuu kaka angu allah a tunusuru turudi makwetu subhana lallahtuiombe oman maana wacheni tuu. 3
@
@salmaathuman91563 years agoJana tumelala kwenye hiyo kambi ya serikali hii kitu usiombe uone hatari sana lakini tunamshukuru mungu nchi imekuwa kama bahari wallah acha kabisa tunamshukuru leo haijanyesha.
@
@zenadaudzena28493 years agoHuku sinaw hakukutokea mvua wala mafuriko wala upepo.
@
@ramlazuber60383 years agoMungu wetu tunakuomba tunusuru. Na hasira yako. Nipo bidiyah omanhuku kigodo. Alhamdullilah.
@
@OfficialOchu3 years agoHakutokeki jaman mwenzenu maji hd ndani ht sijui wanalalaje kwakweli madirisha ac zinapitisha maji ndani.
@
@Hawa-ed2hg3 years agoReo tumepatatikana tuwombeeni dua hii mvua ipite sarama. 1
@
@nouriathismail33 years agoKuna wengine 6 wameangukiwa nanyumba wote wamefariki. 1
@
@aysharashid10493 years agoNdiyo ali alisi ya oman ni kweri jamani.
@
@meetingxoxo46343 years agoYani jumapili atukulala kabisa upepo namvua maji yamengia mbaka ndani.
Related videos for Kimbunga Shaheen tishio Oman, ni mafuriko makubwa, mtoto afariki baada ya kusombwa na maji:
1 comments for oman. 7
maana sitasahau sio kwa upepo ule jamani.