Duration 15:58

Rose Rwakatare alia na wajane na yatima atoa tamko rasmi kuwa atafuta nyayo za mama yake kuwasaidia

2 675 watched
0
15
Published 17 Jul 2021

Rose Rwakatare alia na wajane na yatima atoa tamko rasmi kuwa atafuta nyayo za mama yake kuwasaidia. Aliaysema haya siku ya Jumapili 11.07.2021 katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" kwenye ibada ya Kufuta Kalenda Ya Uovu Katika Maisha Ya Watu iliyoongozwa na Bishop Rose Mgetta

Category

Show more

Comments - 3