Duration 4:6

DKT MPANGO ATOA TAARIFA MAKUSANYO KODI YA MAJENGO SH BILIONI 32 5

380 watched
0
2
Published 22 Jul 2017

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), amesema kuwa Serikali kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya Sh bilioni 32.5 ya kodi ya majengo, kwa mwaka wa fedha 2016/17 kutoka katika Majiji, Miji na Manispaa 30 nchini

Category

Show more

Comments - 1