Duration 3:35

SARAH azidi kumfuta HARMONIZE kwenye maisha yake, Afanya hili jingine kwa KONDE BOY

11 196 watched
0
286
Published 11 Dec 2020

#Harmonize #Sarah

Category

Show more

Comments - 103
  • @
    @computerjoshua964 years ago Ustaa ni mzigo wa mwiba, walo ubeba wanaumia# THEREAL FIDQ 14
  • @
    @mukaplatnumz23134 years ago Sarah pole sana ungejuwa mapema wala usinge tembea nahuyo mmakonde maana si mtu mzuri, na anaga shukrani🤔🤔🤔🇺🇸. 15
  • @
    @vanessalaizer43634 years ago SnS mtafuteni Sarah afunguke hapa! Atakuwa amefuga mengi sana kwa kifua. Mpeni nafasi upepo utoke kwa kifua na sie tutafune bisi 🍿 zetu kabla hazijaexpire😁 12
  • @
    @kenyangal18694 years ago Gals we always get brains after kuchezwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 8
  • @
    @Waytozanzibar4 years ago Hawa mbwa watuache, nazile picha za harusi kule chini ya IG yake zinamaanisha Nini. Km ameamuwa kumfuta mtu ktk moyo wake izo picha za harusi Zina maana gani. Kiukweli hivi vijibwa vidogo vibawapa shida Sana nyingi watu wa media 👿👿 ... 3
  • @
    @kassimrajabu78054 years ago Kwani ata Harmonize kuondoka wcb ilianza hv😂😂😂😂😂 na waachane tu ss haituhusuu 6
  • @
    @driftdumper89274 years ago Mtu ambae pengine haumii ni mond yeye alichukua 500m yake baada ya Hamo kuzingua! Kazi kwako Sara! Hamonise akiishafaidika anakua hana adabu! 5
  • @
    @xoxoq094 years ago My girl always do the same thing every time when we fight but we still together ❤️ and I love her the most 1
  • @
    @videlialabeka48994 years ago AMA harmonize hazalishi😅😅😅😅ona sarah vile amekawia pia😅
  • @
    @mabyserolouchcraig24314 years ago Na ndomana mm hupenda kubaki na jina langu tu kila mahali...haya mambo yakutumia majina ya mume hayo huwa yakijinga..
  • @
    @almasially65094 years ago leo ndo amekumbuka yeye ni ITALIAN GIRL. 2
  • @
    @Mbeyaconscious4 years ago 🤣🤣🤣🤣 Ndoa Ngumu Jamani Msione Wengine Hawaoani Sababu Mengi Yapo Ndani Yake. 4
  • @
    @user-xi1pi4zr3b4 years ago Hawa mastaa wanacheza na akili zetu Sara ajaachana na Harmo Naimani watarudiana hii michezo atujaijua leo wanatengeneza kiki awa wanapendana 7
  • @
    @janatahmad70484 years ago huo sarah worper si alimwambia huo konde atakufanyia kitu hutosahau huo si nyoka mbaya sana hajali nini umefanya😂😂😂rakini ni maripo sarah umejibiwa 😁😁😁eti mmakonde kagoma kutoa taraka kwa sarah😂😂😂😩anaogopa mali kupokonywa maana huo hana lolote ... 1
  • @
    @zehrahaji15664 years ago Masikini Sara kamtajirisha huyo Hamonaiz Sasa ksmgeuka 3
  • @
    @Bayothomusic4 years ago Isikie hii👇
  • @
    @mrggatoto62214 years ago Hahah koma na ushindwe yule ndie jeshiiii 2
  • @
    @shamsalulanje41514 years ago sasa ww sarah uvunje ndoa yako kwasababu yamtoto kwanini musiongee yakaisha tu we haya tu 4
  • @
    @highthemetv78574 years ago
    👆👆👆👆👆👆👆
    Kama ni muoga usifungue hii video😨 Tazama jinsi Kafara inavyotolewa hadharani watu wanachinjwa mbele ya camera 😭😭inatisha ...
  • @
    @hanifaally46944 years ago Sarah pole jmn ulipewa Majibu feki ya DNA ulidanganywa masikin 1
  • @
    @shanatatrigger65374 years ago Zote hizi ni kiki tu hamtaamini na mjiulize Mzungu huyu anakaa wapi...? Mtapata majibu aisee Huyu anatak apite kika njia ya Diamond hapo ndipo anapofel
  • @
    @justinjoshua10594 years ago Uyonae puwa 1 anajipa presha zabure,ukipenda kuku penda na yayiyake.alitaka abaki bilakumuonesha mtoto wake?atulie 4
  • @
    @hamisiphd78884 years ago Hata hivo Konde alikuwa ni Kibenten
    Sara akaolewe na Wazee wenzake huko kwao
    2
  • @
    @shaadenshaduni77554 years ago 🤣🤣🤣aende utaliano akamrogeshe sinaskia wako vizuri kwa uchai 1
  • @
    @heriholder29374 years ago SNS MNATULETEA MIYEYUSHO WHY MNAPENDA KUMZUNGUMZIA K...M ...A KOROSHO. 2
  • @
    @sherin31714 years ago Hahaha na bado huyu... naukiza tu talaka kapewa ama bado😂😂😂 1
  • @
    @muduboy7264 years ago Celebs wa TZ ni washamba kubadilisha women's to look good
  • @
    @achawanunetv11674 years ago Sarah katumwa na WCB
    Sasa kwataafifa yake huto weza kumshusha KONDEBOY JESHI wakina DuduBaya na Baba Levo walishindwa
    4
  • @
    @bintiiddy70434 years ago 😁😁😁wazngu kwa wazngu wanachitiana itakuwa mwanaume wakiarica askuchiti we nani 🤣🤣😂😂karbu africa ambapo ndoa ni kaburi lamapenzi😁😁🤣😂
  • @
    @sambesk27194 years ago Sns na nyie msituchanganye naviabari vyenu vya kiki zakijinga pumbafu
  • @
    @zou74704 years ago Jamani sara alikuwa nayake kwasababu mtoto siyo kigezo cakufanya avunje ndoa yake ule ni malaika wamungu
  • @
    @rayanndizeyes31614 years ago uyo sara atarudi tu kilisho tuma anamupeda paka doa kitamurudisha tu ,sara wivu unamutesa atarudi tu
  • @
    @qulthumameir74804 years ago Kadiri utakavyofanya ndivyo utakavyolipwa, si ulijiona bingwa kuingilia kati mahusiano ya mwenzio sasa kula moto shenz 2
  • @
    @aishabrondo60374 years ago Sarah amempenda harmonize akasahau yalio mtokea zari kwani hakunaga majibu feki kama alitowa pesa hospital ili amcanganye Sarah wanaume wa tz ninoma kabisa