karibu katika channel ya mapishi na Amanda, leo tunapika kitafunwa maarufu kinachoitwa kachori
mahitaji yake
viazi
kitunguu
karoti
hoho
pilipili kama utapenda kuweka
chumvi
limao
mafuta ya kukaangia
unga wa ngano kidogo
rangi ya chakula yoyote uipendayo kuweka mvuto wa kachori zako
kachori unaweza kuzila kama snacks au hata ukafanya breakfast asubuhi, kama ni mara yako ya kwanza kuangalia katika channel hii, basi usisahau kulike, kuacha comment yako hapo chini na bila kusahau kusubscribe channel yetu ili uwe wa kwanza kuiona video pale inapowekwa, kuna mengi ya kujifunza katika mapishi. karibu.