Duration 12:26

Nay wa Mitego 'Sikumpigia kura Rais Magufuli ila.'

226 497 watched
0
876
Published 7 Dec 2015

Nay wa Mitego ni msanii wa bongofleva ambaye wakati wa kampeni za Urais Tanzania mwaka 2015 alihusika kumpigia kampeni Mgombea Urais Edward Lowassa wa UKAWA, Nay amekaa kwenye Exclusive na Millard Ayo na kueleza anayoyaona kwa Magufuli.

Category

Show more

Comments - 82