Duration 10:51

Dalili za Mimba Changa ya Wiki Moja | Dalili 30 za Mimba Changa, Mimba ya Wiki 1 hadi Mwezi 1.

134 479 watched
0
1.2 K
Published 25 Dec 2021

Mjamzito mwenye Ujauzito wa kuanzia wiki 2 mpaka mwezi mmoja anaweza kuwa na Dalili zifuatazo; Kutoona siku zako au Hedhi yako kwa Mjamzito. Kupata kichefu chefu na kutapika kwa Mjamzito. Kuchoka Sana Mara kwa Mara kwa Mjamzito. Kutokwa na Damu kama Matone kwa Mjamzito . Kulala Mara kwa Mara kwa Mjamzito Kutokwa na Ute mwingi Ukeni kwa Mjamzito. Matiti/Maziwa kuuma kwa Mjamzito. Kubadilika kwa Harufu kwa Mjamzito. Chuchu Kubadilika Rangi na kuwa nyeusi kwa Mjamzito. Matiti kuwa makubwa zaidi na kuongezeka Uzito kwa Mjamzito. Maumivu ya Tumbo ya kubana na kuachia kwa Mjamzito. Maumivu ya Kiunoni kwa Mjamzito. Maumuzi ya Mgongoni karibia na kiunoni kwa Mjamzito. Mapigo ya Moyo kwenda mbio ktk kipindi cha Ujauzito. Kujaa Mate Mdomoni mwa Mjamzito. Mdomo kuwa Mchungu kwa Mjamzito. Mjamzito kula Udongo. Tumbo la Mjamzito kujaa Gesi. Kupunguza hamu ya kufanya Tendo la Ndoa ktk kipindi cha Ujauzito. Kukojoa Mara kwa Mara katika kipindi cha Ujauzito. Kupata kiungulia ktk kipindi cha Ujauzito. Mjamzito kuwa na Chunusi Usoni. Mjamzito kuwa Mstari Tumboni ambao unatoka sehemu ya chini ya kifuani mpaka kwenye sehemu ya chini ya Kitovu karibia na mfupa wa Kinena. Tumbo la Mjamzito kuwa na Michirizi ktk kipindi cha Ujauzito. Mjamzito kutokwa na Damu Puani au kwenye Fizi/Meno katika kipindi fulani Cha Ujauzito. Baadhi ya Wajawazito hupata Bawasiri au vinyama vinavyokuwepo kwenye njia ya haja kubwa. Mjamzito Kupata maumivu ya Kichwa. Mjamzito kukosa Usingizi. Kubadilika kwa mhemuko au Mudi. Tumbo kuwa kubwa na kuongezeka katika kipindi cha Ujauzito Kutokana na ukuaji wa Mtoto Tumboni na nk. KUMBUKA; Dalili pekee hazitoshi kuonesha kuwa Mjamzito kuna Baadhi ya Magonjwa huwa na Dalili zinazofanana na Baadhi ya Dalili za Ujauzito, Hivyo ni vema kuweza kufanya kipimo Cha Mimba Cha Mkojo (UPT) endapo unahisi kuwa na Ujauzito. Kipimo hiki kinapofanyika siku ya 10 au 14 tokea Mimba kutungwa huweza kuonesha Majibu sahihi kwa asilimia 99% na endapo hakikuonesha Mimba na bado unapata Dalili za Mimba unaweza kurudia kipimo hiki siku 3 – 5 tokea ufanye kile kipimo Cha kwanza. Mkojo wa kutumia ili kupima Mimba ni Mkojo wa ahsubuhi huwa na kiwango kingi Cha Homoni ya HCG ambayo hugunduliwa na kipimo Cha Mkojo (UPT). Hata hivyo siyo Mara zote Mjamzito anaweza kuwa na Dalili endapo ana Vijidudu kwenye mfumo wa Mkojo Hali hii huitwa Asymptomatic Bacteuria, Aina hii ya shida huweza kugunduliwa endapo Mjamzito amefanya kipimo Cha Mkojo (Urinalysis) na hana Dalili zozote za UTI. Hivyo ni vema kufanya kipimo Cha Mkojo Cha UTI hata kama inawezekana visababishi vya kukojoa Mara kwa Mara ni Mabadiliko ya kawaida kwa Mjamzito katika kipindi cha Ujauzito. NB: ENDAPO UNA UTI UNAHITAJI KUANDIKIWA DAWA NA DAKTARI. Nifuatilie kwenye channel yangu kuhusu Mambo ya Ujauzito. /c/DrMwanyika Nifuatilie Instagram kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito. https://www.instagram.com/dr._mwanyika/ Nifuatilie kwenye website hii kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito. https://mamaafya.com/ Nifuatilie kwenye Facebook page kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito. https://www.facebook.com/JapideAfya/ Usisahau kudownload app ya Mama Afya Bora kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito. https://play.google.com/store/apps/details?id=com.wapnum.mamaafyaapp #DaliliZaMimbaChanga #DrMwanyika #MamaAfya

Category

Show more

Comments - 669