Duration 10:41

NJIA 9 ZA MAFANIKIO TOKA KWA MAGUFULI

22 858 watched
0
331
Published 22 Mar 2021

MAMBO 8 YA MAFANIKIO YA KUJIFUNZA TOKA KWA DR. JOHN POMBE MAGUFULI 1. FANYA KAZI YAKO KATIKA UBORA WA HALI YA JUU 2. KUWA NA MISIMAMO NA KUAMINI UNACHOKIFANYA 3. FANYA KAZI KUVUKA MATARAJIO YA WATU 4. ZUNGUKWA NA WATU SAHIHI 4. FANYA KAZI KWA KUANGALIA MIAKA YA BAADAYE (LONGTERM GOALS) 5. USITOSHEKE NA MAFANIKIO ULIYONAYO 6. PENDA KAZI YAKO 7. KUWA NA MAONO YA MBALI 8. KAMWE USIKATE TAMAA . Imeandikwa na Said Kasege - 0766862579 Imesomwa na kutengenezwa na Ezden Jumanne - 0759191076 #Jifunze #Kwa #Magufuli

Category

Show more

Comments - 40
  • @
    @alexandermluge78863 years ago Asante sana ezden jumanne kwa maarifa ya bure. 1
  • @
    @yahyashaaban18813 years ago Shukran kaka ezden kwa somo zuri la kutia faraja. 1
  • @
    @goldprocessplant58933 years ago Nilitegemea hichi kitu kutoka kwa motivate speaker ahsante sana kaka ezden.
  • @
    @dynam14883 years ago Nashukuru sana kaka ujumbe nzurikitu kikubwa sana, allah akujalie afya njema.
  • @
    @khadijasaidi9113 years ago Asante bro ezden jumanne kwa makara hii.
  • @
    @khadijakhamis56043 years ago Mimi unanipa nguvu kubwa saana ninapo sikiliza voice zako mungu akubaliki hiyo ni sadaka kubwa saana kuliko mtu kumpa pesa ni nzuri kumpa marifa, baraka llahu fikum.
  • @
    @mwashighadijames30183 years ago Mafunzo mazuri naendelea kujifunxa na kubadilika kila kuchao, thanks.
  • @
    @husnatanzanian91552 years ago Al hakam kumbukumbu mwaka wakwaza kufanya kazi inje ya nchi yangu ya tanzania 10 2015 nakumbukumbu ya kifo chake 17 3 2021 mwenzimngu amulaze mahali pema mpeponi amini 10 2015. 1
  • @
    @khadijakhamis56043 years ago Katka watu wanajuwa kufundisha mwalim mzuri ni ezedn jumanne mwenyezi mungu akuzidishie ujasili na elim zaidi wewe una kipaji ni mwana psychology mzuri saana uko vizuri saana.
  • @
    @hajihemedi51893 years ago Stay blessed my brother for nice makara. 1
  • @
    @hassanovajunior69723 years ago He was a true patriot and strong leader rest in paradise jpm. 1
  • @
    @lotionetv28333 years ago Ezden. Ahsante kwa hamasa hii hasa ndani ya mifano hai. Tutaendelea kujifunza umu vizazi na vizazi. Historia ndio hii sasa. Amani kwako kaka.
  • @
    @sharonyclement94572 years ago Muandishi umetisha kingine alisemaga maendeleo hayana miujiza nakubali sana muandishi umetisha.
  • @
    @mwakalukwafredy37203 years ago Nina kushukuru sana kaka yangu edzen jumanne kwa maarifa haya makubwa hakika umepanda mbegu kwangu leo. 2
  • @
    @maikojoseph11153 years ago Kweli alikuwa jembe wetu hakika nitamukumbuka daima.
  • @
    @samohazakwani68993 years ago Assalaam alaykum. Salaam za pole kwa watanzania wote. Shkrn sana kwa somo zuri sana. Ni mfano mzuri wa kuiga. Mi nimependa neno lake muhimu alikuwa akilipenda mungu mbele"
    au tumuweke mungu mbele.
    hakika hili ndio ufunguo wa mafanikio kwa kila jambo, pamoja na jitihada na kumdhania mola mazuri ya kuwa mola ataniwezesha nashkrn brother
    .
    ...Expand
  • @
    @asmovctv8657last year Tunashukuru gavana wa jimbo kwa kujali jambo tulilo muomba kupitiya sauti ya wanyonge kwakujibu mambo, ya barabara nakutiya tracteur ndani ya barabara hilli, kwa pamoja masisi ita pata utetezai wake nakufikiya maendeleo.
  • @
    @alphoncemahinyila8043last year Fanya kazi katika ubira wa hali ya juu sana
    kuwa namsimamomo na kuamini unachokifanya
    fuka matalajio ya watu wale wano kutazama unaku id="hidden6"wa, unstoppable kushitikiza na ufatikia mwanzo hadi umaauti unapo kujia
    zungukwa na watu sahihi
    leta watu wengine
    long team goals
    . ...Expand
  • @
    @samohazakwani68993 years ago Assalaam alaykum. Salaam za pole kwa watanzania wote. Shkrn sana kwa somo zuri sana. Ni mfano mzuri wa kuiga. Mi nimependa neno lake muhimu alikuwa akilipenda mungu mbele"
    au tumuweke mungu mbele.
    hakika hili ndio ufunguo wa mafanikio kwa kila jambo, pamoja na jitihada na kumdhania mola mazuri ya kuwa mola ataniwezesha nashkrn brother
    .
    ...Expand
  • @
    @alphoncemahinyila8043last year Fanya kazi katika ubira wa hali ya juu sana
    kuwa namsimamomo na kuamini unachokifanya
    fuka matalajio ya watu wale wano kutazama unaku id="hidden12"wa, unstoppable kushitikiza na ufatikia mwanzo hadi umaauti unapo kujia
    zungukwa na watu sahihi
    leta watu wengine
    long team goals
    . ...Expand