Duration 6:59

USAJILI YANGA: Huyu Ndiye Nyota Mpya wa Pili Atakayeivaa Simba Januari 4

19 027 watched
0
50
Published 18 Dec 2019

Yanga imemsajili mlinzi wa kushoto wa JKT Tanzania, Adeyum Saleh kwa mkataba wa miaka miwili na kwa mujibu wa Afisa Mhamasishaji wa klabu hiyo, Antonio Nugaz, nyota huyo atakuwepo katika mchezo wa Watani wa Jadi Januari 4

Category

Show more

Comments - 16