Duration 28:00

LIVE​​​​​ KARIAKOO: VILIO VINAENDELEA, WAFANYABIASHARA Waomba JESHI Lipewe KAZI | MTAA KWA MTAA

36 160 watched
0
129
Published 13 Jul 2021

🔴#LIVE​​​​​ KARIAKOO: VILIO VINAENDELEA, WAFANYABIASHARA Waomba JESHI Lipewe KAZI | MTAA KWA MTAA WAFANYABIASHARA wa soko la Kariakoo wameendelea kulia baada ya soko kuungua na kuwasababishia madhara makubwa, ambapo wametoa ombi kwa Rais Samia kuwapa wanajeshi kazi ya uchunguzi na kutengeneza soko hilo upya.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 36
  • @
    @sameermilo49073 years ago Poleni sana, mungu awape zaidi ya mlichopoteza. 2
  • @
    @mamaahmad86153 years ago Poleeni ndugu zangu huu ni msiba da poleni sana. 4
  • @
    @florentinamichael27823 years ago Poleni jmn mungu awefanyie wepesi jmn!
  • @
    @kadamadavid70823 years ago Poleni ndugu zanguni hasara hiyo haivumiliki. 3
  • @
    @stevenkyando1513 years ago Poleni sana wafanya biashara mliopoteza mali zenu katika soko hilo. 1
  • @
    @agustinocharles26503 years ago Mawazo ya mungu sio sawa na mawazo yetu na njia zake tofauti na njia zetu.
  • @
    @faustinombilinyi98093 years ago Mlifurahia sn kuja kwa mama hapo hamkujua kaja kwa ajili ya nn nadhan majibu mnayo hahaha ulizeni mbeya. 4
  • @
    @hassanparamana22153 years ago Tanesco embu kuweni wakweli basi hii ni shoti ya umeme au ni document dismiss ofisi ya soko imepoteza ushahidi.
  • @
    @barack17293 years ago Mm huwa sion humuimu wa red ross maana hata kutoa semina jinsi ya kujiokoa ktk majanga cjawai kuona wanatoa hzo semina.
  • @
    @fieldmarshalvasilyrichard39653 years ago Hawa zimamoto nilijifunza nyumba
    ya askari mwenzao wap chap za wananch wazembe wanafaa watimuliwe wawekwe wapya wenye ujuz na uzalendo.
    1
  • @
    @barakalukumay3 years ago Ni kweli wengi wanastahili pole ila kati yao wanajua kwnn hayo hizi ni mbinu za kukwepa kodi ndio tabia za sokoni. 2
  • @
    @zeramohamed96723 years ago Huyo rais hata kuja hata pole mhh kwani haoni kama faya nayo haina miundombinu kwakweli vitu vyamaana haviwekewi mkazo. 4
  • @
    @ndimimaskati36413 years ago Hayo magari ya fire ni ya model ya zamani, magari ya siku yana ngazi yake, mtu anakaa kwenye ngazi anaponyesha ngazi inapanda juu na mtu wake anayekwenda kuzima moto. 3
  • @
    @amonsanga18663 years ago Dada nyoosha maelezo kuwa msaidiwe mitaji maana mmeshapoteza mitaji unazunguka wakat wewe ni moja ya wahanga na hii ni serikari yko kumbuka serikar ina mfuko wa maafa.
  • @
    @abdulmohamed94133 years ago Polen san wahanga, changamoto zipo ila kwa hizina binadamu tumepewa maarifa ili tupambane nazo kwa maana ya kuwa makini tofauti na zile asili. 4