Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anapokea hati ya Utambulisho kutoka kwa Mabalozi Wateule wafuatao-
1.Mhe. Riita Swan - Balozi Mteule wa Jamhuri ya Finlanda hapa Nchini
2.Mhe. Manfredo Fanti - Balozi Mteule wa Umoja wa Ulaya Nchini
3.Mhe. Meja Jeneral Charles Karamba- Balozi Mteule wa Jamhuri ya Rwanda Nchi
Hafla ya Upokeaji wa Hati za utambulisho wa Mabalozi hawa zinafanyika Ikulu Jijini Dar es salaam.
Category
Show more
Comments - 4
Related videos for RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABALOZI. IKULU DSM: