Duration 10:33

Mwakilishi CCM ahoji uhalali wa Kaimu CAG Zanzibar

11 695 watched
0
38
Published 20 Jun 2021

Mwakilishi wa jimbo la Chwaka kisiwani Unguja kwa tiketi ya CCM, Bwana Issa Gavu, amehoji uhalali wa Kaimu Mkaguzi Mkuu wa Hisabu za Serikali ya Zanzibar, akitilia shaka uwezo wa Baraza la Wawakilishi kujadili ripoti ya kaimu mkaguzi huyo.

Category

Show more

Comments - 46