Duration 22:53

Dr. Chris Mauki: Jinsi ya kushuhulikia Majeraha ya Nafsi. Part 2.

3 900 watched
0
48
Published 12 Jun 2021

Je umewahi kuumizwa moyo na kitu au mtu fulani kwenye maisha yako na ukagundua kumbukumbu ya kitu hicho au mtu huyo haitaki kutoka kabisa kwenye akili au moyo wako? Hapo ni nafsi yako imepata jeraha. usipo jua jinsi ya kulishuhulikia inaweza kuathiri maisha yako yote. Nifuatilie hapa nikusaidie mbinu bora.

Category

Show more

Comments - 4