UONGOZI wa Klabu ya Yanga wakishirikiana na wadhamini wao Kampuni ya GSM jana wameingia mkataba wa misimu minne wa makubaliano ya kimaendeleo ya timu hiyo na kampuni La Liga ambao utagharimu kiasi cha euro 1,040,000, sawa na shilingi bilioni 2.6 za Kitanzania.
Makubaliano ya kuingia mkataba huo yalifi kiwa jana kwenye hoteli ya Serena jijini Dar ambayo yatahusisha maendelo ya mchezo wa soka nchini kupitia La Liga ambayo yanahusisha masuala ya ufundi na vifaa mbalimbali.
Maelezo ya mkataba huo ulio na vipengele vinne, vinaitaka Yanga na GSM kuilipa La Liga fedha hizo katika awamu nne tofauti kuanzia msimu wa 2019-20 hadi msimu wa 2022-23.
VIDEO CREDIT KUTOKA YANGA TV
WATEMBELEE HAPA https://bit.ly/2Bmq8l9
Subscribes:/c/KidaniStars
HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc
HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx
HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R
HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW
Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars
Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars
Twitter: https://twitter.com/Kidanistars
Subscribes:/c/KidaniStars