Duration 1:50

Mdahalo wa ubikira: Je lazima mwanamke awe bikira akiolewa

4 619 watched
0
22
Published 28 Feb 2020

Sheikh Abubakar Baini amesisitiza haja ya kuondoa  kipengee kwenye cheti cha ndoa cha kiisalmu, kinachohitaji mwanamke  kuelezea iwapo alikuwa bikara au la. Haya yanajiri huku Jumatano wiki hii maseneta walimtaka msajili wa ndoa kufika mbele yao na kueleza sababu za kuwepo sheria inayowahitaji wanawake wa kiisilamu kudhihirisha ubikra kabla ya kuozwa na kupewa vyeti vya ndoa.

Category

Show more

Comments - 1