Duration 7:47

IMEVUJA: Kocha Muitaliano kutua Yanga/ Ana REKODI kali ya KIMATAIFA/UEFA inamtambua

15 810 watched
0
77
Published 1 Aug 2020

#Yanga #Giovani #TFF

Category

Show more

Comments - 27
  • @
    @nangukakassim61384 years ago Upovizuri sana ndugu kwa uchambuzi endelea na kasi hii.
  • @
    @wilfredamedeus48854 years ago Hata angekuwa na rekodi ya dunia kwa yanga tu hatoboi bora aende hata ndanda. 1
  • @
    @selemanikisanga44244 years ago Au kocha mzuri koz hadumu na timu hajawah kaa na timu kwa miaka miwili. 1
  • @
    @selemanikisanga44244 years ago Huyo si kocha mzuri hadumug na timu kabisa unchebe ndo kocha anaeiweza yanga.
  • @
    @zabronnkoy49084 years ago Kama ni mtariano basi tutarajie kuwaona tena kina mwaikimba yanga.
  • @
    @natafutapesa96784 years ago Huyo hafai mana hakuna sehem ambayo amekaa kwa muda mrefu sasa itakua kila siku tunaajili makocha.
  • @
    @bundukitv13224 years ago Tazama simulizi ya TEJA aliyepitia mikasa ya kusisimua.
  • @
    @husseinndama89574 years ago Kocha hana kikombe cha ushindani kocha gani.
  • @
    @frankzacharia45264 years ago Ni kocha au ni mtalii? Mbona hatulii na kila timu?
  • @
    @funnyhouse58964 years ago Kocha kafundisha bangladeshi amna kocha apo utopoloo tu.
  • @
    @jorammagembe2284 years ago Leten waingereza wenye cv zao ndio wanajua mpra mtam.
  • @
    @barakamollel91224 years ago Nini kinamtoa haraka hivo kwny timu anazofundisha? 1