Duration 1:33

IKULU LEO:SALAMU MPYA/KAZI IENDELEE/BANGO MOJA/DC UMEKWENDA - RAISI SAMIA SULUHU

125 watched
0
1
Published 6 Apr 2021

#Niwaombe mkafanye kazi na kuwatumikia Watanzania bila ubaguzi kama mlivyoapa, mukawe msaada na sio bughudha au adha kwa Watanzania, msiwe neema au kero na nuksi kwa Watanzania, mkasimamie haki na sio udhalimu au dhuluma na unyanyasaji wa Watanzania, hiyo ndiyo kazi yenu ninayowatuma.

Category

Show more

Comments - 0