Duration 3:30

Sakata la kununua Umeme wa Luku: Naibu Waziri aeleza sababu na kutoa matumaini haya

3 980 watched
0
77
Published 19 May 2021

Kwa siku ya tatu leo, watumiaji wa umeme nchini Tanzania wameshindwa kupata huduma ya kununua umeme wa Luku. Naibu Waziri wa Nishati, Steven Byabato ameeleza sababu na kutoa matumaini haya

Category

Show more

Comments - 37