Duration 1:17

KINYONGA HATARI ZAIDI DUNIANI

5 203 watched
0
11
Published 7 Feb 2019

MFAHAMU KINYONGA Kinyonga ni kiumbe mwenye sifa ya kuwa na rangi nyingi, kiumbe huyu pamoja kuwa na sumu kali lakini ni mpole na hana matumizi mabaya ya sumu hiyo, ni kiumbe anayeogopwa sana japokuwa si mtata, pengine yawezekana ni mkwala wake anaotoa kwa kupanua mdomo wake anapohisi hatari au muonekano wake tuu, mbali na kuwa na macho yanavutia lakini pia ana sifa ya kutembea taratibu sana, si kwamba hawezi kabisa kuongeza spidi la hasha hata akiiongeza bado haitaweza fanana na viumbe wengine kama mjusi, hata hivyo usije fikiri hana wanyonge wake katika mwendo wapo wengi tuu hawamfikii mwendo kinyonga, kama jongoo, washawasha na hata konokono. Duniani kuna aina zaidi ya 100 ya vinyonga chakula chake kikuu ni wadudu, kama kumbi kumbi, nzi, na wengineo wa aina hiyo, Madume wa vinyonga ndio huishi miaka mingi zaidi ya 2 na isiyozidi mitano, wakati majike huishi muda mfupi sana kwakuwa punde tuu wanapozaa hufa.

Category

Show more

Comments - 4