Duration 3:13

YESU MWEMA- (Official video)

3 026 watched
0
64
Published 5 Mar 2021

Karibuni tusikilize wimbo wa Yesu mwema, ulioimbwa na Gosbertha Rwenyumisa! Ni wimbo wa kuabudu Ekaristi takatifu, na pia utufanye tuweze kutafakari juu ya Ekaristi takatifu yaani mwili na damu ya bwana wetu Yesu Kristu! Karibuni Na Kama ni mara yako ya kwanza kutembelea page hii naomba usubscribu, pia Kama umependa wimbo huu usiache kulike kucomment na kushare kwa marafiki karibuni Sana🙏

Category

Show more

Comments - 31