Duration 32:25

NAMNA YA KULIJUA NA KULIISHI KUSUDI LA MUNGU KWA AJILI YA MAISHA YAKO (1) - Carlos Kirimbai

13 474 watched
0
160
Published 24 Jan 2019

Hii ni semina ya siku moja iliyofanywa na mchungaji Carlos Kirimbai kwa mwaliko wa jumuiya ya wanachuo wakristo (TAFES) Chuo cha IFM jijini Dar es Salaam Pia Ili kupokea mafundisho zaidi, tunakukaribisha kushiriki ibada kanisa la MANNA TABERNACLE BIBLE CHURCH (MTBC). Kanisa linakutanika Posta mpya mtaa wa kisutu jijini Dar es salaam, Ukumbi wa shule ya msingi Kisutu. Tunakutana kila jumapili kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 7 mchana. Tunashawishika kukutangazia Maisha yako hayatabaki kama yalivyokuwa.

Category

Show more

Comments - 14